Sometimes inakuwa ngumu ama ni vigumu kuamini pale unapokuwa kwa
situation ngumu ambayo huwezi explain na mtu anakuja anakwambia mazee
pole kila kitu kitakuwa sawa ni time tu Bado haija fika maneno ya msanii kizo baada ya kuchoshwa na walaghai wengi ambao hawamtakii maendeleo katika sanaa yake ila anawaambieni mola yuko na yeye na atamlinda kwenye njia panda na mitihani migumu
MG RECORDS (wakilisha mtaa na sanaa)
Willy Paul is the 'kajairo' of the gospel industry - Kizo B
No comments:
Post a Comment